MASTER SHIVO; KUWA JAJI WA TAMASHA LA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KATI YA BODABODA FC NA WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA JAMBO LEO,AKIWEPO NA MGENI RASMI MH. JERRY SLAA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM;

Staa wa mchezo wa shaolin cung fuu Master shivo amefurahi kupewa heshima kubwa ya kuwa jaji wa Tamasha la bodaboda fc lililo fanyika hapo jana jmos ya tarehe 30 kwani limemfanya awe ni mtu wa kujisikia furaha muda wote kwa kupewa heshima kubwa kama hiyo aliongeza kwa kusema;"tamasha hili limenifanya kutambua mashabiki  wangu kwa kuona nakubalika kwenye kazi zangu nimefurahishwa na mashindano haya na ninawaasa mashabiki zangu waendelee kutoa ushilikiano ili kutufanya tuwe na kiu kubwa ya kujitangaza kimataifa.


Maoni

Machapisho Maarufu