MASTER SHIVO MPUNGA MNONO

MASTER SHIVO KUPATA SHAVU AFRICA TELEVISION NETWORK


Ninamshukuru Mungu hadi hapa ninapoelekea kwani nikikumbuka nilipotoka namwagika machozi kwani  changamoto ni nyingi na ukizingatia ni kazi yangu ya kwanza . Mungu ni mkubwa kwani Kampuni yangu haina Muda mrefu na imepata tenda nyingi kupitia makampuni makubwa nje ya nchi kama SAIFUL ENTERPRISE iliyoko bangladesh na sasa  nimesaini mkataba wa kampuni ambayo makao makuu yake yapo Mauritius katika mji unao julikana kama CYBERCITY Ninashukuru wote walio shilikiana nami walionishauli na walioniunga mkono wakati wote

Maoni

Machapisho Maarufu