MASTER SHIVO IN THE WORDWIDE

Master Shivo mara baada ya kutengeneza falam kali ya action aliyoipa jina la NO ONE sasa anajipanga kufanya movie yenye kiwango cha kimataifa itakayokwenda kwa jina la FIRE'S BRIGEDIA nimeamua kufanya movie za kiwango cha hali ya juu kwa lengo la kulitangaza taifa langu la Tanzania.Sisi kama wasanii tunahitaji sapot kubwa katika serikali yetu ili kufikia malengo kwani kwasasa baadhi ya watu serikalini wameweka mradi kwa kuwakandamiza wasambazaji wa filam.Tulitegemea serikali yetu ingekuwa kipaumbele kusimamia haki za wasanii badala yake  wameweka mradi.Kiujumla bado wasanii hawatendewi haki.Serikali isimamie haki ili tuendelee kutengeneza kazi kw kiwango cha kimataifa.Kwani filamu bora lazima itagharimu pesa na ili kufanya kwa kiwango chenye ubora zaidi.


Maoni

  1. Titanium trim hair cutter reviews - TikTok
    "Tilanium titanium touring Trim stiletto titanium hammer is a trimming titanium sheet tool for women that focuses on getting the best babyliss pro nano titanium curves titanium charge for their own men."

    JibuFuta

Chapisha Maoni