MKURUGENZI WA KAMPUNI YA FILAMU TANZANIA KUBUNI NJIA YA KUPANDISHA SOKO LA FILAMU ZA NDANI.N
MBINU KALI ANAYOITUMIA MOJA YA KAMPUNI ZA USAMBAZAJI TANZANIA
Sisi kama wasambazaji wa filam Tanzania katika kampuni yetu tumebuni njia mpya ya usambazaji wa kazi zetu na kumfikia mteja kwa kutumia system.Mimi kama mkurugenzi ninaona wazi kunaaja ya kuisaidia serikali yetu kwa kuumiza kichwa ili kupambana na changamoto za tasnia ya filamu Tanzania ambayo Tumeipa jina la FINENCIAL CORPARATIVE OF COMMUNITY PAYMENT NETWORK[FCCPN].Ni system ambayo itaanza kutumika mnamo mwakani mwezi wa pili.Na tumepanga kukidhi mahitaji ya watanzania wenzetu kwa kuzibolesha filamu zetu .Hatuta ogopa budjet kwa kuwa mfumo huu utahakikisha unalinda kazi zote zinazo toka kwenye kampuni yetu.
Maoni
Chapisha Maoni